Home
Karibu katika tovuti ya Ackyshine iliyo ya muhimu na nzuri kwa watu wote kwenye kujifunza na kukumbushia mambo yahusuyo imani ya Kikristu hasa ya Kikatoliki.

The Best and Top References site blog
Sponsor

Wiki:Jinsi ya...

Jifunze na fundisha jinsi ya kufanya chochote


Post mpya

 • Ahadi Kuu Ya Jumamosi Tano Za Kwanza Ahadi Kuu Ya Jumamosi Tano Za Kwanza "Kwa Yeyote Atakayeizingatia Ibada Hii Naahidi Wokovu" . . . Mama Yetu wa Fatima, 13 Juni 1917 Ahadi iliyoje, ya ajabu na ya kushangaza iliyotokea siku ...
  Posted Oct 31, 2014, 6:58 AM by Melkisedeck Leon
 • Picha halisi ya Yesu kutoka kwenye sanda yake
  Posted Oct 24, 2014, 11:42 AM by Melkisedeck Leon
 • Uthibitisho wa uwepo wa Yesu Kristo kutoka vyanzo nje ya Biblia mfalme daudipilato
  Posted Oct 24, 2014, 11:28 AM by Melkisedeck Leon
 • Watu waliowahi kupata/kutokea Madonda Ya Yesu
  Posted Oct 24, 2014, 2:17 AM by Melkisedeck Leon
Showing posts 1 - 4 of 8. View more »MIUJIZA

 • Muujiza wa Ekaristi wa Lanciano
  Posted Nov 1, 2014, 9:52 PM by Melkisedeck Leon
 • Miili ya watakatifu isiyoharibika
  Posted Nov 1, 2014, 9:48 PM by Melkisedeck Leon
 • Muujiza wa Ekaristi
  Posted Nov 1, 2014, 9:39 PM by Melkisedeck Leon
 • Proof of the Supernatural & Miracles - Catholic Miracles
  Posted Nov 1, 2014, 9:35 PM by Melkisedeck Leon
 • Ishara kutoka kwa Mungu
  Posted Nov 1, 2014, 9:26 PM by Melkisedeck Leon
Showing posts 1 - 5 of 13. View more »

Sala zetu

 • Sala ya Mtakatifu Basile Mukubwa Sala ya Mtakatifu Basile Mukubwa. Bwana Mwenyezi, Mungu wa ulimwengu na wa Viumbe vyote, ambaye, unapokaa juu mbinguni, unainama kwa kuona mateso yetu, Wewe mwenye kutezamia mioyo na mafigo ...
  Posted Nov 2, 2014, 11:31 AM by Melkisedeck Leon
 • Kumbuka kwa Mt. Yosefu Kumbuka Kumbuka ee mchumba safi wa Bikira Maria, haijasikika hata mara moja umemwacha mtu aliyeomba msaada wako, nami kwa matumaini hayo nakukimbilia wewe na kuomba ulinzi wako, ee baba mlishi ...
  Posted Nov 2, 2014, 11:00 AM by Melkisedeck Leon
 • SALA KWA MT.MIKAELI MALAIKA MKUU SALA KWA MT.MIKAELI MALAIKA MKUU Ee shuja jasiri usiyeshindwa Mt.Mikaeli malaika mkuu,twakuomba utulinde maishani,twakuomba utusaidie katika mashindano na mapigano yetu hapa duniani,Mt Mikaeli Malaika mkuu ...
  Posted Nov 2, 2014, 10:44 AM by Melkisedeck Leon
 • SALA YA KUOMBA MAOMBEZI MT.FRANSISCO WA ASISI SALA YA KUOMBA MAOMBEZI  MT.FRANSISCO WA ASISI Ee Bwana unifanye niwe chombo cha amani yako, • Palipo na chuki nilete mapendoPalipo na makosa nilete msamahaPalipo na shaka nilete ...
  Posted Nov 2, 2014, 10:10 AM by Melkisedeck Leon
 • SALA KWA MT.AGATHA,BIKIRA,SHAHIDI NA MSIMAMIZI WA WAUGUZI SALA KWA MT.AGATHA,BIKIRA,SHAHIDI NA MSIMAMIZI WA WAUGUZI Ee Mungu baba wa mbinguni,tunakushukuru kwa kutupatia Watakatifu wako ambao wapo pamoja nawe Mbinguni wakituombea, miongoni mwao ni Mt ...
  Posted Nov 2, 2014, 10:50 AM by Melkisedeck Leon
 • SALA YA MTAKATIFU INYASI SALA YA MTAKATIFU INYASI SALA YA MTAKATIFU INYASI   Roho ya Kristo unitakase Mwili wa Kristo uniokoe Damu ya Kristo unifurahishe Maji ya ubavu wake Kristo yanioshe Mateso ya Kristo nguvu ...
  Posted Nov 2, 2014, 8:06 AM by Melkisedeck Leon
 • SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI SALA YA ASUBUHI Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina. Ee Utatu Mtakatifu wa ...
  Posted Nov 2, 2014, 11:03 AM by Melkisedeck Leon
Showing posts 1 - 7 of 24. View more »Search anything about Catholic church here

The Catholic Search

The gadget spec URL could not be found


Mungu anakupenda sanaMudaNeno la leo

 • Yohane 15:1-17

  15 ‘Mimi ni mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima. Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda, Baba yangu hulikata; na kila tawi lizaalo, yeye hulisafisha ili lipate kuzaa matunda zaidi. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya mafundisho nili yowapa. Kaeni ndani yangu nami nikae ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa matunda pasipo kuwa sehemu ya mzabibu, vivyo hivyo, ninyi msipokaa ndani yangu hamwezi kufanya lo lote. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi; anayekaa ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa matunda mengi sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya lo lote. Mtu asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi na kunyauka. Matawi hayo hukusanywa na kutupwa motoni, yakateketea. Ninyi mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni lo lote mtakalo nanyi mtatendewa. Mnapozaa matunda kwa wingi Baba yangu anatukuzwa, na hivyo mnadhihirisha kuwa ninyi ni wanafunzi wangu.

  “Kama Baba alivyonipenda mimi, hivyo ndivyo mimi nilivy owapenda ninyi; dumuni katika pendo langu. 10 Mkizishika amri zangu mtakaa ndani ya pendo langu kama mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.

  11 “Nimewaambia haya kusudi furaha yangu iwe ndani yenu, nanyi mpate kuwa na furaha iliyokamilika.

  12 “Amri yangu ni hii: pendaneni kama nilivyowapenda. 13 Hakuna mtu mwenye upendo unaozidi ule wa mtu anayejitoa afe kwa ajili ya rafiki zake. 14 Ninyi ni rafiki zangu ikiwa mtafa nya ninayowaagiza. 15 Siwaiti ninyi watumishi tena kwa sababu mtumishi haelewi shughuli za bwana wake; bali nimewaita rafiki, kwa maana mambo yote niliyoyasikia kutoka kwa Baba yangu nimewa fahamisha. 16 Hamkunichagua, bali mimi nimewachagua ninyi na nimewatuma mwende mkazae matunda, na matunda yenu yapate kudumu, ili lo lote mtakalomwomba Baba katika jina langu, awatimizie. 17 Hii ndio amri yangu: pendaneni.

  Posted Nov 2, 2014, 7:49 PM by Melkisedeck Leon
Showing posts 1 - 1 of 5. View more »