Imani ya Kikristu

Je Mungu Yupo? Uthibitisho wa uwepo wa MunguNifanyeje nipate kuongoka kuwa Mtumishi,Mwana na Rafiki wa Mungu? Kuamini,Kukiri na Kufuata njia ya Wokovu


Matendo ya Mitume 16:30 Kisha akawaleta nje akasema, Bwana zangu, yanipasa nifanye nini nipate kuokoka?  31. Waka-mwambia, “Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako.”