Yesu Kristo‎ > ‎

Ukweli wa uwepo wake


Biblia


Biblia katika vitabu vya injili inaeleza maisha ya Yesu, katika barua za mitume inaeleza kazi ya Mitume wa Yesukueneza injili ya Yesu na katika ufunuo Yesu alionyesha matukio yatakayo tokea kabla ya kuja kwake mara ya pili. Vilevile Vitabu vya Agano la Kale vinaonyesha utabiri na maandalizi ya kuja kwa Yesu

Historia


Historia inaeleza uwepo wa mtu aliyewahi kuishi aitwaye Yesu kutoka katika historia ya Wayahudi na Ya Milki ya Roma.


Uthibitisho wa uwepo wa Yesu kutoka vyanzo tofauti na Biblia

Nguvu yake


Uwepo wa Yesu unajionyesha katika miujiza yake aliyoifanya akiwa hai na baada ya kufa na kufufuka kwake.
Hata leo bado anafanya kazi zilezile kupitia imani kwake na kwa jina lake takatifu.

Video ya sanamu ya Yesu iliyolia na kutoka damu