Miujiza‎ > ‎

Mwandishi

Karibu katika tovuti ya Ackyshine, iliyoanzishwa na Ackyshine (Melkisedeck Leon Shine) iliyo ya muhimu na nzuri kwa watu wote kwenye kujifunza na kukumbushia mambo yahusuyo imani ya Kikristu hasa ya Kikatoliki.Ackyshine

"na atukuzwe Mungu awezaye kufanya yote tusiyo yajua,tusio yazani,tusioyafikiria na kuyategemea katika ile nguvu aitiayo ndani mwetu sisi tumuaminio na kumtumainia kwakua mawazo ya Mungu ni mema daima"
    Tumsifu Yesu Kristo,  ...
 Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine.Mpendwa msomaji, nia yangu ni kufahamisha, kuelimisha na kukumbushia mambo mbalimbali yanayohusu imani ya Kikristo, hasa ya Kanisa Katoliki.Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mungu na wote wanaoifanikisha kazi hii.Usisite kuniandikia kupitia email melkisedeckleon@gmail.com kwa ushauri, maswali, mapendekezo, na kwa kukosoa au kama una mada unayopenda iwafikie watu itume kupitia email melkisedeckleon@gmail.com.
 Ni furaha yangu kusikia ushauri wako,maoni, mapendekezo, maswali na mada upendayo iwafikie watu.Karibu na Mungu akubariki sana

In my Soule Today

  • Do you love me or your Church? Do you love me or your Church?
    Posted Oct 31, 2014, 9:55 AM by Melkisedeck Leon
  • Be honest Be honest to yourself and I will be honest to you
    Posted Oct 31, 2014, 9:53 AM by Melkisedeck Leon
Showing posts 1 - 2 of 2. View more »