Miujiza‎ > ‎Mwandishi‎ > ‎Maandishi‎ > ‎Mafundisho‎ > ‎

Mambo ya kuzingatia unapokua katika shida kubwa ya kuelekea kukata tamaa

Mungu yupo
Mungu anakuona na anaona yote yanayoendelea hata kama ni ya siri.
Mungu bado anakupenda sana ukiwa katika hali yoyote
Mungu anaweza kukusaidia kama ukiwa tayari na ukiwa na subira
Mungu hamtupi mtu
Sio wewe mwenyewe mwenye shida kama hiyo hapa duniani na kumbuka wapo watu waliowahi kuwa na shida kama hiyo kwa hiyo, wewe sio wa kwanza kupata shida ya namna hiyo
Usikate tamaa jaribu tena na tena, ushindi wako upo pale pale Mungu anaona juhudi zako, atakuonyesha njia.
Hakuna kitu kisichokua na mwisho
Huo sio mwisho wa furaha na amani yako.
Kumbuka
Mungu anasamehe dhambi au kosa lolote.
Mungu akisha sammehe anasahau
Mungu hapendi watu wawe katika hali hiyo na yeye yupo tayari kukuonyesha njia ya kutokea kama tu utamwamini yeye
Usiogope, Utashinda
Usisitesite utaweza
Yesu alikufa kwa ajili yako, kwa ajili ya wenye dhambi wapate kuokolewa.
Kumbuka huruma ya Yesu kwa yule mwizi pale msalabani

Comments