Miujiza‎ > ‎Mwandishi‎ > ‎Maandishi‎ > ‎Sala‎ > ‎

Mungu wangu unihurumie, nimeshindwa kukufurahisha

Mungu wangu unihurumie, Mimi ni mwenye dhambi, Unirehemu unisaidie niweze kwacha dhambi. Nasikitika Sana Kwa kua nimeshindwa kukufurahisha kama nilivyo nuia hapo awali. Unisamehe uniwie radhi bwana wangu maana sikupenda iwe hivyo na nilishindwa kushinda dhambi na majaribu, Unihurumie Unisamehe Sana. Nakupenda sana Mungu wangu na ninajua wanipenda Sana, naomba upiganie uhusiano wetu.

Comments