Sala zetu‎ > ‎

SALA KWA MT.MIKAELI MALAIKA MKUU

posted Nov 2, 2014, 10:13 AM by Melkisedeck Leon   [ updated Nov 2, 2014, 10:44 AM ]

SALA KWA MT.MIKAELI MALAIKA MKUU


Ee shuja jasiri usiyeshindwa Mt.Mikaeli malaika mkuu,twakuomba utulinde maishani,twakuomba utusaidie katika mashindano na mapigano yetu hapa duniani,Mt Mikaeli Malaika mkuu,Mt Makaeli Malaika mkuu,Mt Mikaeli Malaika mkuu uje utusaidie.amina
Ee Mt Mikaeli Malaika mkuu,utulinde katka vita,uwe kinga yetu katika maovu na mitego ya shetani.Mungu amtiishe tunaomba sana nawe mkuu wa majeshi ya mbinguni.Kwa nguvu ya Mungu,uwatupe motoni shetani na roho wabaya(pepo) wanaozunguka duniani ili kupoteza roho za watu.Amina
Comments